Miujiza iliyoonyeshwa kwa watumishi waliofanya kazi ya Yesu kwenye karamu ya arusi huko Kana, na Petro aliyeshusha nyavu zake kwa mara nyingine mahali ambapo hapakuwa na samaki kwa kuitikia amri ya Yesu, na kwa Naamani aliyeponywa ukoma wake katika Mto Yordani, yote yalifanikishwa kwa kutekeleza kazi ya Mungu.
Katika enzi hii ya Roho Mtakatifu, Kanisa la Mungu linaloongozwa na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama linafanikisha matokeo ya kushangaza ya injili kwa kutekeleza kwa uaminifu kazi ya Mungu, “Hubiri neno kwa ulimwengu wote.”
Nakuagiza mbele za Mungu na mbele za Kristo Yesu, atakayewahukumu watu walio hai na waliokufa na wakati wa kuja kwake na ufalme wake, kwamba: Hubiri Neno; kuwa tayari wakati ufaao na wakati usiofaa; karipia, kemea na utie moyo—kwa uvumilivu wote na kwa mafundisho mazuri.
2 Timotheo 4:1–2
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha