Ikiwa hatuelewi kikamilifu mpango wa
Mungu wa wokovu na kujaribu
kufanya kwa mapenzi yetu wenyewe,
hatuwezi kuingia Kanaani ya mbinguni
kama Waisraeli walioangamizwa
jangwani.
Sababu kwa nini Biblia inawaita Noa,
Abrahamu, Mose, na Yoshua mababu wa
imani ni kwa sababu waliamini katika
mpango wa Mungu wa wokovu na
walitenda kulingana na mpango huo tu.
Injili ya agano jipya ya Kanisa la
Mungu ilianza kama kanisa
dogo kama chumba cha juu cha Marko.
Lakini kulingana na mpango wa
wokovu kwa wanadamu ambao Mungu
Alianzisha tangu mwanzo, unahubiriwa
ulimwenguni pote, kutia ndani Alaska
na Sertung katika Milima ya Himalaya.
Ni mimi nitangazaye mwisho tangu
mwanzo, naam, tangu zamani za kale,
mambo ambayo hayajatendeka.
Ninasema: Kusudi langu ndilo
litakalosimama, nami nitatenda
mapenzi yangu yote. . . . Lile ambalo
nimelisema, ndilo nitakalolitimiza; lile
nililolipanga, ndilo nitakalolitenda.
Isaya 46:10–11
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha