Mungu Anawaamuru watoto Wake kushiriki manukato ya Mungu Mama wao kwa wao. Mtoto mchanga huhisi dukuduku wakati hawezi kusikia sauti ya mama yake au kunusa harufu yake. Vivyo hivyo, nafsi zetu haziwezi kamwe kwenda kwenye ufalme wa mbinguni kama tukimwacha Mungu Mama.
"Manukato ya mama" maana yake ni moyo wa kupendana, kuwa na subira, kutokuwa na kiburi, kuwafikiria wengine, kuungana sisi kwa sisi, na kuheshimu kaka na dada kwa nia ya unyenyekevu.
Kupitia Sikukuu ya Vibanda, watoto waliutambua upendo wa Mama Aliyejitoa dhahibu kwa ajili ya wokovu wa wanadamu. Kwao, Kristo Ahnsahnghong Alifanya muujiza kwamba roho nyingi zilirudi Sayuni.
Ndugu zangu, ninyi mliitwa ili mwe huru, hivyo msitumie uhuru wenu kama fursa ya kufuata tamaa za mwili, bali tumikianeni ninyi kwa ninyi kwa upendo.
Wagalatia 5:13
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha