Sababu ya Yesu Ajaye Mara ya Kwanza na Yesu Ajaye Mara ya Pili kutabiriwa “kuja katika mawingu” ni kwamba mwili huifunika nuru ya asili ya Uungu ya Mungu kama vile mawingu huzuia nuru ya jua.
Tunaweza kuelewa kwamba Yesu Atakuja tena kama mwanadamu hata kupitia unabii, “Ninao kondoo wengine ambao si wa zizi hili,” na “Mungu Atatufundisha katika siku za mwisho.”
Miaka elfu mbili iliyopita, Wayahudi walitazama tu mawingu ya angani, wakimngojea Masiya.
Katika enzi ya Roho Mtakatifu pia, ikiwa mtu yeyote atatazama mawingu angani tu kwa mawazo yaliyokosea kama ya Wayahudi, hatapokea wokovu kutoka kwa Kristo Ajaye Mara ya Pili Ahnsahnghong na Mungu Mama.
“Wakati huo ndipo watakapomwona Mwana wa Adamu akija mawinguni pamoja na uweza na utukufu mkuu. Mambo haya yatakapoanza kutendeka, simameni na mkaviinue vichwa vyenu, kwa sababu ukombozi wenu umekaribia.”
Luka 21:27–28
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha