Hakuna chochote duniani kinachoweza kuishi bila maji.
Vivyo hivyo, ikiwa nafsi zetu hazitapewa maji ya uzima—neno la Mungu, tutateseka kutokana na kiu ya kiroho na mwishowe kuangamia.
Katika Biblia, imeandikwa kwamba Roho na Bibi arusi hutoa maji ya uzima.
Hapa, Bibi arusi ni Mungu—chanzo cha maji ya uzima, si kanisa au waumini.
Ni katika Kanisa la Mungu tu-linalowaamini Roho na Bibi arusi-Yesu Kristo Ahnsahnghong Ajaye Mara ya Pili na Mungu Mama- Waliokuja katika mwili katika enzi hii, ndipo tunaweza kupata maji ya uzima.
Roho na bibi arusi wanasema, “Njoo!” Naye asikiaye na aseme, “Njoo!” Yeyote mwenye kiu na aje, na kila anayetaka na anywe maji ya uzima bure.
Ufunuo 22:17
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha