Mose na Haruni walishindwa kuingia katika nchi ya Kanaani mwishoni mwa safari ya miaka 40 jangwani, na Nebukadneza aliishi kama mnyama-pori kwa miaka saba, na Herode akafa kifo cha kusikitisha. Yote ni kwa sababu hawakudhihirisha utakatifu wa Mungu, bali utukufu wao wenyewe.
Kama Danieli na Petro ambao sikuzote walidhihirisha utakatifu wa Mungu na kubarikiwa, tunapaswa kuonyesha utakatifu wa Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama kama manabii wenye hekima wa injili katika Enzi ya Roho Mtakatifu.
. . .sauti ilipokuja kutoka mbinguni, ikisema, “Mfalme Nebukadneza, hiki ndicho kilichoamriwa kwa ajili yako: Mamlaka yako ya ufalme yameondolewa kutoka kwako. Utafukuzwa mbali na wanadamu, ukaishi pamoja na wanyama pori, na utakula manyasi kama ngʼombe. Nyakati saba zitapita juu yako, mpaka utakapokubali kuwa Yeye Aliye Juu Sana ndiye anayetawala juu ya falme za wanadamu, naye humtawaza yeyote amtakaye.”
Danieli 4:31–32
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha