Takribani miaka 2,000 iliyopita, yule malaika akasema, “Ninawaletea habari njema zitakazosababisha shangwe kuu,” naye akawasilisha habari kwamba Yesu, ambaye ni Mungu, Amezaliwa katika dunia hii.
Mungu Anapokuja, wanadamu wanaweza kupokea msamaha wa dhambi na kuingia katika ufalme wa milele wa mbinguni.
Imeandikwa katika Waebrania 9 kwamba Mungu Atatokea mara ya pili kuwaokoa wanadamu.
Hivyo, Mungu Asipokuja tena katika mwili, wanadamu hawawezi kamwe kuokolewa.
Akiwa Mhusika Mkuu wa unabii huu, Kristo Ahnsahnghong Alikuja katika dunia hii na kufunua ukweli uliokuwa umefungiwa gizani, na kama misheni ya Eliya, Alishuhudia kuhusu Mungu Mama, uhalisi wa maisha.
Hivyo Yosefu akapanda kutoka mji wa Nazareti ulioko Galilaya kwenda Uyahudi, mpaka Bethlehemu, mji wa Daudi, kwa sababu yeye alikuwa wa ukoo na wa nyumba ya Daudi.
Alikwenda huko kujiandikisha pamoja na Maria, ambaye alikuwa amemposa naye alikuwa mjamzito.
Lakini malaika akawaambia: “Msiogope. Kwa maana tazama nawaletea habari njema za furaha itakayokuwa kwa watu wote.
Leo katika mji wa Daudi kwa ajili yenu amezaliwa Mwokozi, ndiye Kristo Bwana.
Luka 2:4–11
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha