Wazazi wa Mbinguni, Baba Ahnsahnghong na Mungu Mama, Wanatamani watoto Wao wawe na sifa za kuwa ukuhani wa kifalme wa mbinguni.
Ndiyo maana Wanataka watoto Wao watambue thamani ya ufalme wa mbinguni ingawa wanaweza kupata huzuni, maumivu, na mateso katika dunia hii.
Kila mtu ana udhaifu wake mwenyewe ingawa labda hawaufahamu kikamilifu.
Mungu husafisha udhaifu wetu katika mazingira mbalimbali ili mwishowe kutupa baraka.
Hivyo, ni muhimu kulitii neno la Mungu linalotuongoza kwenye ufalme wa milele wa mbinguni.
Basi, na tufanye bidii kuingia katika raha hiyo, ili kwamba asiwepo yeyote atakayeanguka kwa kufuata mfano wao wa kutokutii.
Kwa maana Neno la Mungu li hai tena lina nguvu. Lina makali kuliko upanga wowote wenye makali kuwili, hivyo linachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, viungo na mafuta yaliyo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.
Waebrania 4:11–12
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha