Ibada na sifa zinazotolewa kwa Mungu kwa uelewa sahihi zinawaongoza wanadamu kwenye wokovu.
Waumini wa Kanisa la Mungu wanaamini kwa uthabiti kupitia ushahidi katika Biblia kwamba “Tu-” tuliyeumba mwanaume na mwanamke hapo mwanzo inarejelea Mungu Baba na Mungu Mama, na wanatoa ibada, sala, na sifa kwa Mungu Elohim, Waumbaji wa kweli.
Unabii kwamba Mungu Atafanya agano jipya katika Sayuni, kutoa msamaha wa dhambi huko, na kuanzisha Yerusalemu ili upokee sifa ulimwenguni, zote zinatimizwa na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Aliyekuja katika enzi hii.
Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, ee Yerusalemu, hawatanyamaza mchana wala usiku.
Ninyi wenye kumwita BWANA, msitulie, msimwache apumzike hadi atakapoufanya imara Yerusalemu na kuufanya uwe sifa ya dunia.
Isaya 62:6–7
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha