Agano jipya ndilo linalofanya wanadamu, ambao Mungu Aliumba, kuwa wa thamani zaidi.
Ukweli wa agano jipya ni hazina ya mbinguni ambayo hata malaika mbinguni wanatamani kuitazama.
Mungu Ametoa ukweli huu kwa watu wa mbinguni pekee wanaoweza kuurithi ufalme wa mbinguni.
Wale walio na mwili na damu ya Mungu kwa kula na kunywa mkate wa Pasaka na divai, ambayo Mungu Alisema Imefanywa katika Mungu, wanaweza kuwa watoto wa Mungu.
Wanaweza kupokea msamaha wa dhambi na baraka ya uzima wa milele katika Sayuni ambako Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama huishi.
“Siku zinakuja,” asema BWANA, “nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda. . . .“Nitaweka sheria yangu katika nia zao, na kuiandika mioyoni mwao. Nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.”
Yeremia 31:31–33
Hivyo Yesu akawaambia, “Amin, amin nawaambia, . . . Mtu yeyote aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, anao uzima wa milele. Nami nitamfufua siku ya mwisho.
Yohana 6:53–54
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha