Katika enzi ambapo akili mnemba inachukua nafasi ya kazi ya binadamu, hatua kwa hatua wanadamu wanapoteza nafasi yao. Katika enzi ambapo tiba, ulinzi, elimu, sanaa na fasihi vinaweza kubadilishwa na akili mnemba, wanadamu wanahitaji imani katika ahadi za Mungu ili kupata furaha ya milele.
Mustakabali wa mbinguni ambao wanadamu wote wanatumaini upo katika agano jipya ambalo Mungu Ametufundisha. Sababu ya Mungu Baba na Mungu Mama kuja katika dunia hii kama Roho na Bibi arusi ni kwamba Walitangulia kuona mwisho wa dunia na Walitaka kuwapa wanadamu mustakabali wenye furaha ya milele.
Ni mimi nitangazaye mwisho tangu mwanzo, naam, tangu zamani za kale, mambo ambayo hayajatendeka. Ninasema: Kusudi langu ndilo litakalosimama, nami nitatenda mapenzi yangu yote. Isaya 46:10
Ndiye alituwezesha sisi kuwa wahudumu wa Agano Jipya: si wa andiko, bali wa Roho; kwa kuwa andiko huua bali Roho hutia uzima. 2 Wakorintho 3:6
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha