Nani Anayetusamehe Dhambi Zetu Kupitia Pasaka ya Agano Jipya? Ili kuwaokoa wanadamu waliokuja duniani, wakiwa wametenda dhambi zinazostahili mauti katika ufalme wa mbinguni, Mungu Mwenyewe Alikuja duniani katika mwili Akiwa na jina Yesu katika enzi ya Mwana, na kwa jina Ahnsahnghong katika enzi ya Roho Mtakatifu pamoja na Mama wa Mbinguni.
Kanisa la Mungu Pekee Linaadhimisha Pasaka Duniani kote Ni Kristo Ahnsahnghong tu Aliyeandaa sikukuu ya kumeza mauti kwa njia ya Pasaka ya agano jipya ambayo haikuwa imeadhimishwa kwa muda mrefu tangu ilipoondolewa mnamo 325 BK.
Juu ya mlima huu BWANA Mwenye Nguvu Zote ataandaa karamu ya vinono kwa mataifa yote, karamu ya mvinyo wa zamani, nyama nzuri sana na divai zilizo bora sana. Isaya 25:6–8
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha