Kulingana na kile kilichomo, chupa tupu
inaweza kuwa chombo cha maua au chupa
ya maji.
Kama vile mitume walivyofanyika wafanyakazi
wa agano jipya baada ya kumpokea Roho Mtakatifu
siku ya Pentekoste miaka 2,000 iliyopita, sisi, pia,
tunaweza kuwa watoto wakamilifu wa Mungu
tunapokuwa na Roho Mtakatifu ndani yetu.
Miaka elfu mbili iliyopita, baada ya Yesu
kufa msalabani, mitume walikuwa
wakitetemeka kwa hofu, lakini baada ya
kupokea Roho Mtakatifu Siku ya Pentekoste,
walishuhudia kwa ujasiri kwamba Yesu ndiye Masihi.
Kama vile mitume walivyofanya, waumini
wa Kanisa la Mungu leo, wakiwa wamepokea
Roho Mtakatifu wa mvua ya mwisho katika
Siku ya Pentekoste, wanashuhudia kwa ujasiri
kwamba Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama
Wamekuja kuwaokoa wanadamu.
Siku ya Pentekoste ilipowadia,
waamini wote walikuwa mahali pamoja.
Ghafula sauti kama mvumo mkubwa
wa upepo mkali uliotoka mbinguni
ukaijaza nyumba yote walimokuwa wameketi. . . .
Wote wakajazwa na Roho Mtakatifu,
wakaanza kunena kwa lugha nyingine,
kama Roho alivyowajalia.
Matendo 2:1–4
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha