Kiroho, watu wote duniani ni wafungwa waliopewa adhabu ya kifo,
ambao hawajui ni nini kitakachowapata kesho.
Hivyo ubatizo ambao ni kwa ajili ya msamaha wa dhambi
lazima ufanywe kwa haraka kama vile ambavyo madaktari
hawawaangalii tu wagonjwa wa dharura
kwa miezi bali huwatibu mara hiyo.
Watakatifu wa Kanisa la mapema waliwabatiza watu barabarani, usiku,
na hata kwenye siku za Sabato. Yeyote aliyetaka wokovu
alibatizwa, bila kujali wakati wala mahali.
(Mdo 8:26–39; 10:44–48; 16:13–14; 16:29–34)
Sherehe ya ubatizo ina upendo mkuu wa Mungu
ambaye Alisulubiwa badala ya wanadamu ambao walitenda
dhambi kubwa. Kwa hiyo, iwapo tu tunamwamini Mwokozi
Aliyekuja kwa jina jipya katika enzi ya Roho Mtakatifu,
yaani, Kristo Ahnsahnghong na kubatizwa kwa jina Lake,
ndipo tunapoweza kuokolewa.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha