Sherehe za kidini za Kanisa Katoliki na makanisa mengine yenye mayai yaliyochemshwa na sungura hazikutokana na Biblia. Zilitokana na tendo la kumwabudu mungu wa kike, yaani, Easter. Ikiwa watu wa Mungu watashiriki katika kumwabudu Easter, maafa yatakuja juu yao.
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu linaadhimisha Siku ya Ufufuo kulingana na Biblia kwa kumega mkate kama Yesu na wanafunzi Wake walivyofanya miaka 2,000 iliyopita.
Alipokuwa mezani pamoja nao, akachukua mkate, akashukuru, akaumega, akaanza kuwagawia. Ndipo macho yao yakafumbuliwa, nao wakamtambua, naye akatoweka machoni pao. Hawakumwona tena. Luka 24:30–31
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha