Wakati Noa Alipoijenga safina, Mose alipoigawa Bahari ya Shamu, Gideoni alipopigana vita dhidi ya Midiani, na Yosefu alipokuwa mtawala wa Misri, wote walipitia mateso.
Walakini, hatua ya kushangaza ya Mungu ilifichwa huko ili kuwapa baraka kubwa wale wanaolitii neno la Mungu.
Katika enzi hii, Roho Mtakatifu Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, Bibi arusi, Wamekuja katika dunia hii, na waumini wa Kanisa la Mungu ambao wameongozwa Sayuni wanaenda kuihubiri injili ulimwenguni pote; hizi zote ni hatua za uungu za Mungu Alizowapa wanadamu kwa ajili ya wokovu katika enzi ya Roho Mtakatifu.
“Sasa, msihuzunike wala msijichukie wenyewe kwa kuniuza huku . . .
Lakini Mungu alinitanguliza mbele yenu ili kuhifadhi mabaki kwa ajili yenu katika nchi, na kuokoa maisha yenu kwa wokovu mkuu.
Kwa hiyo basi, si ninyi mlionileta huku, bali ni Mungu. . . .”
Mwanzo 45:5–8
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha