Watu wote wa ulimwengu walitupwa chini kutoka mbinguni kwa sababu ya kutenda dhambi kubwa inayoongoza kwenye mauti. Kwa hivyo, ni lazima tukumbuke kila wakati kwamba sisi ni wenye dhambi, tujiepushe na kiburi, tukatae kufuata ulimwengu huu mwovu, na tuishi maisha ya toba ili tuokolewe kutoka katika hukumu itakayokuja baada ya kifo chetu cha kimwili.
Wale ambao wametubu kweli pia hujitolea mioyo yao kuwaongoza wengine kutubu. Kama vile mama wa kweli na mama wa uongo walivyofunuliwa kupitia matendo yao katika hukumu ya Solomoni, wale ambao wamefikia toba inayoongoza kwenye wokovu pia hufunua mioyo yao kupitia matendo yao.
“Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi wapate kutubu.” Luka 5:32
“Nawaambia, la hasha! Ninyi nanyi msipotubu, wote mtaangamia vivyo hivyo.” Luka 13:5
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha