Kama vile maji, barafu, na mvuke yana maumbo na majina tofauti lakini kimsingi kiini ni sawa, H₂O, Mungu Ametokea kwa namna tofauti na kwa majina tofauti katika kila enzi—kama Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu—ili kutekeleza kazi Yake ya wokovu, ilhali Yeye kimsingi ni Mungu mmoja.
Biblia inafundisha kwamba Mungu Baba Yehova, Mungu Mwana Yesu Kristo, na Mungu Roho Mtakatifu ni Mungu mmoja. Roho Mtakatifu Kristo Ahnsahnghong ndiye Mungu Aliyeumba mbingu na dunia. Yeye ndiye Mungu yule yule Aliyetenganisha Bahari ya Shamu ili kuokoa Israeli miaka 3,500 iliyopita, na Aliyeteseka msalabani miaka 2,000 iliyopita ili kutusamehe dhambi zetu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha