Iwapo tu tunaelewa siri ya Mti wa Uzima
katika Edeni, Sanduku la Agano na Pasaka ya Agano
Jipya, ndipo tunaweza kuwekwa huru kutoka katika dhambi
na kuingia katika Ufalme wa milele wa Mbinguni.
Mungu Alikuja duniani mara ya pili kuleta wokovu
kwa wanadamu. Waokozi katika Enzi ya Roho Mtakatifu,
Waliorudisha Pasaka ya Agano Jipya
—uhalisi wa Mti wa Uzima—
ndio Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama.
Yesu alinena mambo haya yote kwa makutano kwa mifano. Wala hakuwaambia lolote pasipo mfano. . . . “. . . nitahubiri mambo yaliyofichika tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.” Mathayo 13:34–35
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha