Katika nyakati za Agano la Kale, Patakatifu pa Patakatifu ambapo Sanduku la Agano lilikuwa palikuwa na urefu, upana na kimo sawa.
Mji Mtakatifu Yerusalemu ulio mbinguni ambao upana wake na kimo chake na urefu wake vilikuwa sawa unawakilisha Bibi arusi, Mungu Mama. Yeye ndiye chanzo cha maji ya uzima na uhalisi wa Patakatifu pa Patakatifu.
Kama vile ambavyo Mungu Aliumba mbingu na dunia na vyote vilivyomo kwa neno lake hapo mwanzo, lazima tuamini kwamba maneno, “Pokeeni Roho Mtakatifu,” yaliyotolewa katika Siku ya Mwisho ya Sikukuu ya Vibanda pia yana nguvu.
Tunapohubiri injili kwa imani hii, kazi ya Roho Mtakatifu wa mvua ya mwisho ambayo ni yenye nguvu zaidi kuliko kazi ya Roho Mtakatifu iliyokamilishwa katika Kanisa la mapema itatendeka.
Mmoja wa wale malaika saba . . .akaja akaniambia, “Njoo, nitakuonyesha bibi arusi, yaani, mke wa Mwana-kondoo.” . . . akanionyesha ule Mji Mtakatifu, Yerusalemu, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu. . . . urefu wake na upana wake na kwenda juu kwake vilikuwa sawa.
Ufunuo 21:9–16
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha