Mungu Aliita kanisa linaloshika sikukuu
Zake Sayuni.
Kanisa pekee linaloshika sikukuu za
Mungu zilizoandikwa katika Biblia—
Sabato, Pasaka, Sikukuu ya Mikate
Isiyotiwa Chachu, Sikukuu ya Malimbuko,
Siku ya Pentekoste, Sikukuu ya Tarumbeta,
Siku ya Upatanisho, na Sikukuu ya
Vibanda— ni Kanisa la Mungu.
Yesu Alianzisha agano jipya kwa damu
Yake ya thamani, si kwa damu ya
wanyama kulingana na Sheria ya Mose.
Pia Alitufundisha kwamba mahali ambapo
sikukuu za agano jipya zinashikwa ni
Sayuni ambapo wokovu wa wanadamu
unatolewa.
Walakini, sikukuu za agano jipya
zilitoweka wakati wa Enzi za Giza, na
Sayuni ikaharibiwa.
Leo, Kristo Ahnsahnghong Ameijenga tena
Sayuni ambayo ilikuwa imeharibiwa.
Kwa maana BWANA ataijenga tena Sayuni
na kutokea katika utukufu wake.
Zaburi 102:16
Mtazame Sayuni, mji wa sikukuu zetu;
macho yenu yatauona Yerusalemu, mahali
pa amani pa kuishi, hema ambalo
halitaondolewa, . . . Huko BWANA atakuwa
Mwenye Nguvu wetu. . . . BWANA ni
mfalme wetu, yeye ndiye atakayetuokoa.
Isaya 33:20–22
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha