Ulimwengu wote unasherehekea kuzaliwa kwa Yesu kila Desemba 25, Krismasi.
Walakini, hakuna mstari hata mmoja kwamba Yesu Alizaliwa Desemba 25 katika Biblia.
Kupitia historia, tunaweza kuelewa kwamba Krismasi ilitokana na siku ya kuzaliwa kwa mungu jua Mithra.
Kanisa la Mungu lililoanzishwa na Ahnsahnghong Kristo Aliyekuja mara ya pili,
halisherehekei Krismasi, siku ya kuzaliwa kwa mungu jua, ambayo haipatikani katika Biblia.
“Desemba 25 SIYO siku ya kuzaliwa kwa Yesu, bali ya mungu jua.
Krismasi ilitokana na sikukuu ya kipagani kwa ajili ya jua lisiloshindwa.”
-Ensaiklopidia Britannica-
“Krismasi haikuanzishwa na Mungu, wala haina msingi katika Biblia.”
-Saikolodia ya Fasihi ya Biblia, Kitheolojia na Kikanisa-
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha