Mungu Alipochagua jeshi la Gideoni, aliwakataa wale waliokuwa na hofu.
Sikuzote alisisitiza kwa jeshi la Yoshua kutoogopa. Kupitia hili,
tunaweza kuona kwamba jambo la muhimu zaidi ni kuamini katika
ahadi za Mungu na kusonga mbele kwa ujasiri.
Kama vile Waisraeli ambao hawakuamini ahadi za Mungu,
walieneza habari mbaya, na kulalamika juu ya Kanaani,
ikiwa tunasita kwa sababu tunaogopa watu na mazingira,
hatutaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni, Kanaani ya kiroho.
Tunapohubiri injili ya ufalme wa mbinguni kwa ujasiri, tukiamini ahadi
ambayo Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama wametoa kutubariki,
kazi ya ajabu ya injili ambayo itashangaza ulimwengu wote itafanyika.
Usiache Kitabu hiki cha Sheria kiondoke kinywani mwako;
yatafakari maneno yake usiku na mchana,
ili upate kuwa mwangalifu kufanya kila kitu sawasawa na yote
yaliyoandikwa ndani yake. Ndipo utakapofanikiwa na kisha utastawi.
Je, si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na shujaa.
Usihofu wala usivunjike moyo, kwa kuwa Bwana Mungu
wako atakuwa pamoja nawe kokote uendako.”
Yoshua 1:8–9
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha