Wakati mwingine, taabu na usumbufu hutokea tunapotembea katika njia ya imani, lakini tunaweza kuufikia ufalme wa mbinguni wa milele ambao Mungu Aliahidi tunapokuwa na imani kamili na hatulalamiki kuhusu chochote kama Ayubu.
Waumini wa Kanisa la Mungu Wanamwamini Mungu Aliyekuja katika Mwili
Waisraeli sikuzote waliusahau uweza wa Mungu na Kumjaribu jangwani, na Wayahudi waliyapuuza maneno ya uzima kutoka kwa Yesu na walionyesha tu kwamba Amekuja katika mwili. Katika enzi ya Roho Mtakatifu, pia, Mungu Anakuwa mtego na tanzi kwa wale wasiowaamini Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama nao wanakabili majaribu kutoka kwa Shetani.
Zaburi 78:10–11
Hawakulishika agano la Mungu, na walikataa kuishi kwa sheria yake. Walisahau aliyokuwa ameyatenda, maajabu aliyokuwa amewaonesha.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha