Biblia inashuhudia kwamba uhusiano kati ya mambo ya duniani na mambo ya mbinguni ni kama mfano na uhalisi wake. Hii inamaanisha kwamba tunaweza kujua kuhusu mfumo wa familia ya mbinguni kupitia mfumo wa familia ya duniani.
Biblia inasema kwamba kama vile tunavyokuwa na baba wa kimwili, kadhalika tunaye Baba wa roho zetu. Zaidi ya hayo, uwepo wa Mungu Mama Anayewapa watoto wa mbinguni uzima unajulishwa kwetu.
Lakini Yerusalemu wa juu ni huru, nayo ndiye mama yetu. Wagalatia 4:26
Mungu Baba na Mungu Mama waliweka mwili na damu Yao katika Pasaka ya agano jipya na kuwaruhusu wale wanaoiadhimisha kuwa watoto Wao.
Watoto wa Mungu watarithi utukufu wote mbinguni kama warithi wa Mungu. Kwa hiyo, baraka ya kuwa mtoto wa Mungu ni yenye thamani.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha