Kupitia mfumo wa familia ya duniani, Mungu Alitujulisha uhalisi wa familia ya Mbinguni.
Mungu Aliumba viumbe wengi kupokea uhai kupitia mama zao. Hii ilikuwa kuonyesha kwamba Uzima wa milele unatoka kwa Mungu Mama
Sababuy a Yesu kusisitiza upendo na kuja duniani kutafuta waliopotea ni kwamba sisi ni wanafamilia wa Mbinguni. Hii pia ni sababu, katika maisha yetu ya imani tunaitana kaka na dada.
Kuanzia Mwanzo hadi Ufunuo, Mungu Elohim Alishuhudiwa mara zisizOhesabika. Na ndani ya Mungu Elohim—Mungu Baba and Mungu Mama, familia ya Mbinguni inaweza kuwa kamili.
Wanahudumu katika patakatifu palipo mfano na kivuli cha mambo ya mbinguni. Hii ndiyo sababu Mose alionywa alipokaribia kujenga hema, akiambiwa: “Hakikisha kuwa unavitengeneza vitu vyote kwa mfano ulioonyeshwa kule mlimani.”
Waebrania 8:5
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha