Kama vile kuna wakati kwa kila jambo, na majira kwa kila shughuli, maisha yetu ya imani pia yana kusudi dhahiri: wokovu wa roho zetu—yaani, kupokea uzima wa milele.
Kwa ajili ya wokovu wetu, Mungu Alitekeleza kazi Yake ya ukombozi kwa zaidi ya miaka 6,000, Akiigawa katika enzi tatu—enzi ya Baba, enzi ya Mwana, na enzi ya Roho Mtakatifu—na Akatupa jina tofauti la Mwokozi katika kila enzi.
Katika enzi ya Baba, jina la Mwokozi lilikuwa Yehova. Enzi ilipobadilika kuwa enzi ya Mwana, lilikuwa Yesu. Sasa, hata hivyo, tunaishi katika enzi ya Roho Mtakatifu. Kwa hiyo, wokovu hauwezi kupokelewa kupitia jina la Yehova au jina la Yesu. Tunaweza kuokolewa tu kwa kulijua jina jipya la Yesu na kuliita jina hilo.
Jina jipya la Yesu—jina linalotoa baraka ya uzima wa milele bure katika enzi ya Roho Mtakatifu—ni Kristo Ahnsahnghong.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha