Tunaweza kujua jinsi imani yetu ilivyo nzuri kwa kutii neno la Mungu.
Kadiri tunavyoishi katika ukweli, ndivyo utii na imani yetu iwe ya kina zaidi.
Walakini, tukifanya kulingana na mapenzi yetu kama Mfalme Sauli alivyofanya, Mungu Atachukua neema yake ambayo Ametujalia.
Kristo Ahnsahnghong, Aliyekuja kama Mwokozi katika enzi ya Roho Mtakatifu, Aliona kila kitu tangu mwanzo hadi mwisho wa enzi naye Akatekeleza kazi ya wokovu kwa wanadamu wote.
Kwa hiyo, waumini wa Kanisa la Mungu huamini maneno Yake na kuyatii katika hali zote kama Abrahamu na Gideoni.
“Kutii ni bora zaidi kuliko dhabihu, nako kusikia ni bora kuliko mafuta ya kondoo dume.
Kwa maana kuasi ni kama dhambi ya uaguzi, nao ukaidi ni kama uovu wa kuabudu sanamu. Kwa sababu umelikataa neno la BWANA, naye amekukataa wewe kuendelea kuwa mfalme.”
1 Samweli 15:22–23
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha