Yesu Alisema kwamba Alikuja duniani kutafuta na kuokoa wenye dhambi.
Wanadamu, waliotenda dhambi mbinguni na kuja katika dunia hii, lazima wafikie toba kamili wakati wa Wiki ya Maombi kuanzia Sikukuu ya Tarumbeta hadi Siku ya Upatanisho na wakumbatie upendo wa kutangaza kwa ulimwengu wote ukweli wa agano jipya ambalo Mungu Alianzisha.
Agano jipya lina dhabihu ya Baba Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama.
Kwa sababu ya uvumilivu Wao wa kimya wa maumivu ya msalaba na dhabihu ya mauti kwa ajili ya wokovu wa watoto Wao, njia ya kurudi kwenye ufalme wa mbinguni, yaani, lango la ufalme wa mbinguni, lilikuwa wazi kwa wanadamu leo.
Yesu akawajibu, “Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa.
Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi wapate kutubu.”
Luka 5:31–32
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha