Ijapokuwa imeshuhudiwa kote katika Biblia, baadhi ya watu wanashindwa kuwaamini Mungu Baba na Mungu Mama, na ijapokuwa wanamwita Mungu “Baba,” hawaadhimishi Pasaka ya agano jipya, ambayo ni njia ya kurithi mwili na damu ya Mungu.
Watu kama hao wataishia kutengwa na Mungu.
Mungu Alisema, “Nitakuwa Baba kwenu, nanyi mtakuwa watoto Wangu,” na kupitia vyeo hivi vya familia, Alituelimisha kwamba wanadamu ni familia ya kiroho ya mbinguni.
Kwa hiyo, waumini wa Kanisa la Mungu, kama familia ya mbinguni, wanawaamini Mungu Baba na Mungu Mama, na wanatembea njia ya imani, wakipendana kama kaka na dada.
“Kwa hiyo . . . nitawakaribisha.”
“Mimi nitakuwa Baba kwenu, nanyi mtakuwa wanangu na binti zangu, asema Bwana Mwenyezi.”
2 Wakorintho 6:17–18
Lakini Yerusalemu wa juu ni huru, nayo ndiye mama yetu.
Wagalatia 4:26
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha