Yesu hakuja kuondoa sheria kama vile Pasaka bali kuzibadilisha ziwe sheria kamilifu na zisizo na dosari.
“Msidhani kwamba nimekuja kufuta Sheria au Manabii; sikuja kuondoa bali kutimiza. Mathayo 5:17
Sheria ya Mose, ambayo ilitolewa wanyama kuwa dhabihu ilikuwa mfano wa Aroni; na Pasaka ya agano jipya, ambayo Kristo Alianzisha, ni mfano wa Melkizedeki—sheria ya Kristo.``
Mfano wa Melkizedeki—Pasaka ya agano jipya Yesu Alikuja kama Kuhani Mkuu kwa mfano wa Melkizedeki naye Akatubariki na uzima wa milele kupitia mkate na divai ya Pasaka. Hivyo, waumini wote wa Kanisa la mapema walishika agano hili jipya.
Wale wanaomwamini Mungu lazima waamini katika Kristo Ahnsahnghong, Aliyekuja tena kulingana na unabii wa Melkizedeki, na kuiadhimisha Pasaka ya agano jipya hadi mwisho wa dunia.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha