“Karamu ya Mwisho” ni kazi ya sanaa inayofahamika kwa watu ulimwenguni pote. Yesu Alitamani sana kuiadhimisha Pasaka ya Agano Jipya. Kupitia ukweli huu tu, tunaweza kuongozwa na Mungu kwa usahihi kutembea katika njia inayoongoza Mbinguni.
Pasaka ni sikukuu ambayo Yosia, Hezekia, na Yoshua wote walisifiwa kwa kuiadhimisha. Sikukuu hii ya uzima iliwaletea baraka nyingi vilevile na ushindi vitani.
Katika Enzi ya Roho Mtakatifu, wanadamu wanaweza kupokea uzima na ahadi ya Mbinguni wanapoadhimisha Pasaka kulingana na kielelezo cha Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama.
“ ‘Mimi nimewawekea kielelezo kwamba imewapasa kutenda kama vile nilivyowatendea ninyi.’ ” Yohana 13:15
“Kisha akawaambia, “Nimetamani sana kuila Pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu.’ ” Luka 22:15
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha