Katika wakati wa Kanisa la mapema
ambapo Mungu ambaye Wayahudi wote
walimwamini na kumwabudu Alikuja
katika mwili kwa jina Yesu,
hawakumtambua bali walimsulubisha.
Vivyo hivyo, leo, watu wengi wa kidini
wanashindwa kutambua kwamba
Kristo Ahnsahnghong ni Mungu Aliyekuja
tena kwa ajili ya wokovu wa wanadamu.
Wanamkataa, wakipeperushwa mbali na njia ya wokovu.
Kristo Ajaye Mara ya Pili Ahnsahnghong
Aliumba ulimwengu, Akawapa wanadamu uzima,
na Akatufundisha kuhusu ufalme
wa milele wa mbinguni.
Yeye ni Mungu Aliyetokea kutoka Korea
Kusini, nchi ya mbali katika mashariki,
kama ilivyotabiriwa katika Ufunuo 7.
Alitekeleza kazi ya wokovu
katika Kanisa la Mungu kupitia Pasaka
ya agano jipya (muhuri wa Mungu).
Basi Yesu alipofika katika eneo
la Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake, . . .
“Je, ninyi mnasema mimi ni nani?
Simoni Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo,
Mwana wa Mungu aliye hai.”
Mathayo 16:13–16
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha