Katika Siku ya Upatanisho, wanadamu wanaweza kupokea neema ya msamaha kutoka kwa Mungu kwa dhambi zote walizotenda mbinguni na bila kujua wakiwa hapa duniani, kwa kutubu kwa siku kumi kuanzia Sikukuu ya Tarumbeta.
Ni siku iliyobarikiwa njia ya kurudi kwenye ufalme wa mbinguni inapofunguliwa.
Kama vile wanawali wenye busara walioandaa taa na mafuta yao kwa ajili ya karamu ya arusi, waumini wa Kanisa la Mungu wanaandaa taa zao kwa usadikisho katika ukweli wa agano jipya, na mafuta kwa imani thabiti kuelekea Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, na kwa ujasiri wanashuhudia ukweli wa hakika kwa ulimwengu wote.
“Hivyo usiogope, kwa maana niko pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako. Nitakutia nguvu na kukusaidia; nitakutegemeza kwa mkono wa kuume wa haki yangu.”
Isaya 41:10
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha