Kanisa ambalo Mungu Mwenyewe Alilianzisha kwa damu yake (damu ya thamani ya ukweli wa Pasaka ya agano jipya), kanisa linaloshika siku ya saba, siku ya Sabato (Jumamosi) kuwa takatifu kama vile Yesu na wanafunzi Wake, na kanisa linalobatiza watu kwa jina la Baba, la Mwana, na la Roho Mtakatifu kwa ajili ya msamaha wa dhambi ni Kanisa la Mungu ambapo Mungu yuko pamoja nasi, na Anatupa wokovu kama Biblia inavyoshuhudia.
Watu wataookolewa wana agano jipya kama vile siku ya Sabato ya Mungu na Pasaka katika mioyo yao. Watawatambua na kumpokea Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, ambao ni Roho na Bibi arusi, na kutekeleza misheni yo kama watoto wa mbinguni ambao ni kuufundisha ulimwengu tofauti kati ya kisicho sahihi na kilicho sahihi.
Paulo, niliyeitwa kwa mapenzi ya Mungu kuwa mtume wa Kristo Yesu, na Sosthene ndugu yetu. Kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, . . .
1 Wakorintho 1:1–2
[A]sema BWANA . . . . “Kwa hiyo watu wangu watalijua Jina langu; kwa hiyo katika siku ile watajua kwamba ndimi niliyetangulia kulisema. Naam, ni mimi.”
Isaya 52:5–6
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha