Adamu na Eva walitii maneno ya Shetani, wakala tunda lililokatazwa, nao wakafukuzwa kutoka Bustani ya Edeni. Mfalme Sauli alifuata mapenzi ya watu, akiona neno la Mungu kama jambo dogo, naye akafukuzwa kwenye kiti cha enzi.
Vivyo hivyo, katika enzi hii, Roho Mtakatifu Anaweza kutolewa kwa wale tu wanaolitii neno la Mungu.
Tunapoyatii maneno ya Mungu, Roho Mtakatifu yu pamoja nasi daima, na tunaishi maisha yenye baraka.
Kwa kuwa wanadamu wote si wakamilifu, ni lazima tuifuate njia kamilifu ya Mungu kwa utii hadi mwisho ili kuishi maisha ya ushindi na tujazwe na Roho Mtakatifu kama babu zetu wa imani.
“Nasi tu mashahidi wa mambo haya, vivyo hivyo na Roho Mtakatifu ambaye Mungu amewapa wale wanaomtii.”
Matendo 5:32
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha