Katika Siku ya Upatanisho, wanadamu wanapotubu mbele za Mungu kwa ajili ya dhambi zote walizotenda mbinguni na katika dunia hii kwa kujua na bila kujua, watasamehewa dhambi zao kupitia neema ya Mungu na kupewa fursa ya kurudi katika ufalme wa mbinguni.
Kama vile Yesu Alivyokuja hapa duniani na kusema, “Tubuni, kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia,” Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama pia Wanawaambia wanadamu wafikie toba kamili, waepuke maafa, na waokolewe.
Yesu akawajibu, “Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa.
Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi wapate kutubu.”
Luka 5:31–32
Hakika mkono wa BWANA si mfupi hata usiweze kuokoa, wala sikio lake si zito hata lisiweze kusikia.
Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, dhambi zenu zimewaficha ninyi uso wake, ili asisikie.
Isaya 59:1–2
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha