Mungu hakuleta maafa ambayo Alikuwa Ameamua
kuleta juu ya Ninawi kwa sababu walitubu kwa dhati
ijapokuwa walikuwa wamefuata miungu mingine na kuitesa Israeli.
Mnyang‘anyi kwenye upande wa kulia na yule
mwana mpotevu aliyemwacha baba yake walipotubu,
walipokea baraka.
Kupitia haya yote, Mungu Alionyesha wanadamu
kwamba wanaweza kuepuka maafa na kuokolewa
wanapotubu dhambi zao.
Ukaidi na moyo usio na toba hujiwekea akiba
ya ghadhabu ya Mungu hadi Siku ya Hukumu.
Waumini wa Kanisa la Mungu walikuja
kujua njia ya toba kamili kupitia maneno ya
Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama,
na sasa wanahubiri injili ya agano jipya,
wakitumaini kwamba wengine pia
wataokolewa kwa njia ya toba.
“Kwa hiyo, ee nyumba ya Israeli, nitawahukumu, kila mmoja sawasawa na njia zake, asema BWANA Mwenyezi. Tubuni! Geukeni kutoka makosa yenu yote, ndipo dhambi haitakuwa anguko lenu.
Ezekieli 18:30
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha