Hata kama mwenye dhambi atasahau dhambi yao na kuishi maisha mapya, dhambi yao haitoweki kamwe.
Wanadamu ni wafungwa wasiotiwa hatiani waliotenda dhambi mbinguni na wanangojea hukumu ya mbinguni au jehanamu. Baada ya nafasi ya mwisho ya kutubu katika dunia hii kupitia sheria ya agano jipya, lazima wasimame mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu, na watapewa hukumu ya mwisho kwa ajili ya dhambi zao.
Sheria ya agano jipya ina ahadi ya kuondoa dhambi na makosa yetu yote.
Yesu Aliteseka msalabani ili kuchukua dhambi kuu za wenye dhambi wa kiroho. Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Walirejesha sheria ya agano jipya ambayo ina neema hiyo ya ukombozi. Kama vile Yesu Alivyofanya, Wanaita kwa dhati, “Tubuni” na kuwaongoza wanadamu kwenye ufalme wa mbinguni.
Kama vile mwanadamu alivyowekewa kufa mara moja tu na baada ya kufa akabili hukumu, . . .
Waebrania 9:27
Kisha mauti na Kuzimu zikatupwa katika ziwa la moto. Hii ndio mauti ya pili, yaani, hilo ziwa la moto. Iwapo mtu jina lake halikuonekana katika kile kitabu cha uzima, alitupwa ndani ya lile ziwa la moto.
Ufunuo 20:14–15
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha