Biblia inashuhudia kwamba wanadamu walitenda dhambi mbinguni nao wakatupwa hadi duniani, na kwamba Yesu Alikuja duniani kuwapa wanadamu msamaha wa dhambi zao ili waweze kurudi katika ufalme wa mbinguni.
Hii ndiyo maana Yesu Alipitia mateso msalabani na kujidhabihu hadi kifo.
Toba ni kumrudia Mungu, na inatimizwa kwa kushika kanuni na sikukuu ambazo zilitimizwa kupitia dhabihu ya Mungu.
Yesu Aliyekuja miaka 2,000 iliyopita, Yohana Mbatizaji, na watakatifu wa Kanisa la mapema vilevile na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama katika enzi ya Roho Mtakatifu, wote walikazia toba.
Ni kwa sababu toba ndiyo njia pekee ya kumrudia Mungu.
Kama tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe wala kweli haimo ndani yetu.
Kama tukiziungama dhambi zetu, yeye ni mwaminifu na wa haki, atatusamehe dhambi zetu na kutusafisha kutoka kwenye udhalimu wote.
Kama tukisema hatukutenda dhambi, twamfanya yeye kuwa mwongo . . .
1 Yohana 1:8–10
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha