Katika Agano la Kale, Waisraeli waliokolewa kwa njia ya damu ya mwana-kondoo wa Pasaka. Hili linatuonyesha kwamba wale ambao wana damu ya Yesu, ambaye Alikuja kama Mwana-Kondoo wa Pasaka, wanaweza kuokolewa na wale ambao hawana damu Yake ndani yao watapokea maafa.
Tunaposhiriki katika sherehe takatifu ya Pasaka ya kula mwili wa Mungu na kuinywa damu Yake, maafa hupita juu yetu kwa sababu Mungu yuko ndani yetu. Isitoshe, tunweza kutiwa mhuri kuwa watoto wa Mungu Baba na Mungu Mama.
“Roho mwenyewe hushuhudia pamoja na roho zetu ya kwamba sisi tu watoto wa Mungu.” Warumi 8:16
“Mtu yeyote aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, anao uzima wa milele. Nami nitamfufua siku ya mwisho. . . . Yeyote alaye mwili wangu na kunywa damu yangu, atakaa ndani yangu nami nitakaa ndani yake.” Yohana 6:54–56
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha