Kristo Ahnsahnghong Alisema kwamba tusipoweka ukweli katika utendaji, roho zetu zitatiwa giza na kupoteza upambanuzi na hatimaye, kupoteza imani na kumkana Mungu.
Kwa kuwa tunaishi katika dunia hii, ulimwengu wa pande tatu, na hatuwezi kuhukumu ulimwengu wa mbinguni katika pande za nne na tano, ni lazima tuamini katika maneno ya Mungu Anayetubariki na kufuata mafundisho Yake daima.
Mababa wa imani kama Mose, Daudi, Gideoni, na Yoshua walibarikiwa kwa kutii neno la Mungu hata katika hali ambazo zilionekana kuwa ngumu kwa akili za watu za kawaida.
Wakiangalia historia yao, waumini wa Kanisa la Mungu wanaamini katika Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, Waokozi katika enzi ya Roho Mtakatifu, na wanalitii neno Lao.
Matokeo yake, kazi ya kustaajabisha ya injili inafanyika duniani kote.
Nayainua macho yangu nitazame vilima, msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu hutoka kwa BWANA, Muumba wa mbingu na dunia.
Zaburi 121:1–2
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha