Mose aliitwa na Mungu kupanda Mlima Sinai kwenye siku ya 40 baada ya kuvuka Bahari ya Shamu.
Hatimaye, kazi ya Mose iliashiria kwamba Kristo Atapaa mbinguni kwenye siku ya 40 baada ya kufufuliwa kutoka kwa wafu.
Hii ikawa chimbuko la Siku ya Kupaa ya leo.
Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama daima Wametufundisha kupitia Biblia kwamba wale wanaoadhimisha sikukuu, yaani, sheria za mbinguni, ni wale ambao wana uenyeji wa mbinguni.
Yesu Mwenyewe Alituonyesha kwamba wale ambao wana uenyeji wa mbinguni watabadilishwa ghafla na kuvikwa mwili wa utukufu; Aliweka kielelezo Alipopaa mbinguni kutoka Mlima wa Mizeituni.
Lakini uenyeji wetu uko mbinguni. Nasi tunamngoja kwa shauku Mwokozi kutoka huko, yaani, Bwana Yesu Kristo,
atakayeubadili mwili wetu wa unyonge, ili upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ule ambao kwa huo aweza hata kuvitiisha vitu vyote chini yake.
Wafilipi 3:20–21
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha