Hekima ya kumtambua Mungu ambaye
Amekuja duniani katika mwili imo
katika Biblia.
Kwa hiyo, kwa wale wanaouliza, “Kwa
nini Baba Ahnsahnghong ni Mungu, Kristo
ambaye Alikuja mara ya pili?” lazima
tuonyeshe kitambulisho cha Mungu, Biblia.
Yesu Alitoa uzima wa milele kwa wale
wanaokula mkate na kunywa divai siku ya
Pasaka.
Walakini, hakuna mtu Aliyeiadhimisha kwa
takriban miaka 1,600 baada ya Pasaka
kuondolewa mnamo 325BK kwenye
Mtaguso wa Nisea.
“Ninyi mnachunguza Maandiko mkidhani ya
kuwa ndani yake mna uzima wa milele,
maandiko haya ndiyo yanayonishuhudia
Mimi, . . .”
Yohana 5:39
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha