Abrahamu, Noa, Mose, na Danieli walibarikiwa kwa sababu walitii neno la Mungu, haijalishi walikabili hali gani zisizowezekana.
Historia kama hiyo ya Biblia inaonyesha kwamba ni lazima tuwe na imani thabiti katika uwepo wa Mungu, haijalishi hali ikoje.
Siku kumi ziliwatosha kufika Kanaani.
Hata hivyo, Waisraeli waliingia huko baada ya miaka 40 na waliangamizwa jangwani baada ya kunung'unika na kulalamika huku wakizingatia tu kile kilichokuwa kikitokea mbele yao.
Ilikuwa kwa sababu ya ukosefu wao wa imani.
Vivyo hivyo, leo, jambo muhimu zaidi katika jangwa la imani tunapoelekea Kanaani ya mbinguni ni kuwa na imani kamili katika maneno ya Mungu Ahnsahnghong na Mungu Mama.
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, na udhahiri wa mambo yasiyoonekana. Maana baba zetu wa kale walipongezwa kwa haya. Kwa imani tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, vitu vyote vinavyoonekana havikuumbwa kutoka kwa vitu vinavyoonekana.
Waebrania 11:1–3
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha