Leo, ikiwa hatuelewi maneno ya Biblia yaliyotolewa na Mungu, ambaye ni kiini cha ulimwengu, hatutamtambua Kristo Ajaye Mara ya Pili Ahnsahnghong na Mungu Mama, Bibi arusi, kama ambavyo watu hawakumtambua Yesu katika ujio Wake wa kwanza.
Kisha, tutaishia kutoa ibada isiyo na maana katika kanisa ambalo Mungu hayupo.
Kama vile Daudi alikuwa na sheria iliyohitajika kwa ajili ya utawala wake alipotawala juu ya Waisraeli, kuna sheria ya agano jipya kati ya Yesu Aliyetabiriwa kama Daudi na watu Wake.
Kristo Ajaye Mara ya Pili Ahnsahnghong, ambaye Alitimiza unabii wote wa kiti cha enzi cha Daudi, pia Alitufundisha kuhusu agano jipya.
Baadaye Waisraeli watarudi na kumtafuta BWANA Mungu wao na Daudi mfalme wao. Watakuja wakitetemeka kwa BWANA na kwa baraka zake katika siku za mwisho.
Hosea 3:5
Basi ikawadia siku ya Mikate Isiyotiwa Chachu, . . .
Vivyo hivyo baada ya kula, akakitwaa kikombe, akisema, “Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, imwagikayo kwa ajili yenu.
Luka 22:7–20
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha