Kama ambavyo watu hupata amani na faraja kupitia sauti za mama zao walizozisikia wakiwa tumboni,
watoto wa Mungu watapata amani ya kiroho wanaposikia sauti ya Mungu Mama.
Takribani miaka 2,000 iliyopita, Yesu pekee Alisema, “Mtu yeyote na aje Kwangu na apokee maji ya uzima,” lakini katika enzi ya Roho Mtakatifu, Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama kwa pamoja Wanatangaza sauti ya wokovu.
Kristo Ahnsahnghong Alisema, “Yoshua alimfuata Mose, Elisha alimfuata Eliya, Petro alimfuata Yesu, na Mimi Ninamfuata Mama.”
Hii ni kwa sababu wanadamu wanaweza kuokolewa wanaposikia sauti ya Mungu Mama.
Roho na bibi arusi wanasema, “Njoo!” Naye asikiaye na aseme, “Njoo!” Yeyote mwenye kiu na aje, na kila anayetaka na anywe maji ya uzima bure.
Ufunuo 22:17
Kama mama anavyomfariji mtoto wake, ndivyo nitakavyokufariji wewe, nawe utafarijiwa huko Yerusalemu.”
Isaya 66:13
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha