Kanisa la mapema na mitume hawakushika kamwe ibada ya Jumapili au Krismasi.
Mungu Aliandika katika Biblia njia kwa wanadamu kupokea msamaha wa dhambi na kuingia katika ufalme wa mbinguni.
Alisisitiza mara kwa mara, “Kamwe usiongeze wala kupunguza neno lolote kutoka kwenye maneno ya Biblia.”
Siku hizi, makanisa ulimwenguni huamini katika Mungu Baba tu na sio Mungu Mama, lakini ni Mungu Mama Anayetupa “uzima wa milele,” ambao Mungu Amewaahidi watoto Wake.
Mungu Alishuhudia kuhusu Mungu Mama kupitia viumbe hai wote ambao waliumbwa kulingana na mapenzi ya Mungu wakiwemo wanaume na wanawake, na kwa njia ya "mitokondria" iliyogunduliwa na wanasayansi.
Namwonya kila mtu asikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki: Mtu yeyote akiongeza humo chochote, Mungu atamwongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.
Kama mtu yeyote akipunguza humo chochote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.
Ufunuo 22:18–19
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha