Mungu Alimsisitiza Yoshua mara kwa mara awe na ushujaa mwingi atakapofika mbele ya Kanaani, na kumwamuru Yona kulihubiri neno la Mungu kwa ujasiri katika mji mkuu wa nchi ya adui.
Kuhusu hili, tunahitaji ushujaa zaidi kuliko kitu kingine chochote katika kuhubiri injili ya agano jipya kwa ulimwengu mzima.
Wakiamini kwamba injili ya Mungu itabadilisha giza kuwa nuru popote itakapohubiriwa, waumini wa Kanisa la Mungu, ambao watarithi Kanaani ya kiroho, wanatekeleza misheni ya Yoshua, na kama Yona alivyofanya, wanahubiri habari njema ya wokovu ya Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama kwa ulimwengu mzima kwa ujasiri.
“Uwe hodari na shujaa, kwa sababu wewe ndiwe utakayewaongoza watu hawa kuirithi nchi niliyowaapia baba zao kuwapa.
Uwe hodari na uwe na ushujaa mwingi. Uwe na bidii kutii sheria yote aliyokupa Mose mtumishi wangu, usiiache kwa kugeuka kuelekea kuume au kushoto, ili upate kufanikiwa popote uendako.
Yoshua 1:6–7
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha