Kujua kama matendo yetu ni sahihi au sio sahihi, lazima tuje kwa Mungu, ambaye ndiye nuru ya kweli. Leo, katika ulimwengu wa giza ambapo watu hawawezi kupambanua mapenzi ya Mungu, Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Wameangaza nuru ya ukweli wa uzima kwa njia ya Sabato na Pasaka.
Mungu Alikuja hapa duniani kama nuru, Akishinda roho ya giza ya ulimwengu, Akitufundisha kuhusu mambo ya mbinguni, Akileta tumaini kwa ulimwengu, na kuangaza nuru. Vivyo hivyo, watoto wa Mungu lazima pia waiangaze nuru ya injili kwa ulimwengu ili kila mtu aweze kumtambua Mungu.
Kwa habari yao, mungu wa dunia hii amepofusha akili za wasioamini, ili wasione nuru ya Injili ya utukufu wa Kristo, aliye sura ya Mungu. . . . Kwa kuwa Mungu, yeye aliyesema, “Nuru na ingʼae gizani,” ameifanya nuru yake ingʼae mioyoni mwetu ili kutupatia nuru ya maarifa ya utukufu wa Mungu katika uso wa Kristo. 2 Wakorintho 4:4–6
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha